Habari za Punde

Marikiti Kuu eneo la Historia Zanzibar.

Moja ya Marikiti Kuu Zanzibar ambayo hutowa huduma za kujipatia vitu na bidhaa mbalimbali kwa Wananchi wa Unguja. Soko hili ni kivutio cha Wageni wanaotembelea Zanzibar likiwa lina historia ya aina yake Zanzibar.

2 comments:

  1. Mwandishi ni vizuri kuandika"Soko hutowa huduma za kujipatia vyakula mbalimbali badala ya kuandika vifaa mbalimbali maana hapo hapauzwi nondo ,saruji wala mabati, hapo wananchi wanajipatia mahitaji ya chakula.

    ReplyDelete
  2. Sawa mkuu tumerekebisha na kuweka vitu na bidhaa.

    Shukran kwa angalizo

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.