Mchezaji wa timu ya Danger Mjini, akimpita mchezaji wa timu ya Manhionda katika mchezo wa Ligi ya Mabinwa wa Wilaya Taifa, uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Danger Mjini imeshinda 3-2,
Beki wa timu ya Danger Mjini mwenye jezi nyeupe akimpita mchezaji wa timu ya Danger Mahonda mwenye jezi Nyekundu, katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa wa Wilaya Taifa.
Jopo la Waamuzi wakifuatilia mchezo wa Ligi ya Mabingwa wa Wilaya uliofanyika katika uwanja wa Mao, ukikutanisha timu za Danger Mahonda na Danger Mjini.
No comments:
Post a Comment