Mdau mambo ya embe kery wakati wa enzi zetu tukiwa skuli ya kidutani pale chini ya mshelisheli wazee wakiwa na biashara hiyo na nyengine nyingi bado watoto wetu na ndugu zetu wanafaidi embe kery wakiwa katikamaeneo ya skuli ya kajificheni na hamamni wakijipatia embekery. naona unamezea mate kutokana na sifa za embe ukiona huvutiwa na kujaa na mate mdomoni. kazi kwako mdau.
REA YASAMBAZA MITUNGI NA MAJIKO YA GESI KWA WATUMISHI WA GEREZA LA UKONGA
DAR ES SALAAM
-
-REA kuendela kuwajengea uwezo Magereza uendelezaji Miradi ya Nishati Safi
-Mhe. Balozi Radhia Msuya amewahamasisha Maafisa na Watumishi wa Magereza
kuwa M...
4 hours ago
Naam embe keri hiyo
ReplyDelete