Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Viongozi na wananchi
na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kusini Unguja, wakijumuika
katika chakula cha futari aliyoiandaa katika viwanja vya Jengo la
Ofisi ya Uhamiaji Tunguu jana
Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu
wakifurati katika Viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu,katika mualiko
wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein, kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipeana mkono wa shukurani na
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaj Dk.Mohamed
Gharib Bilal,baada ya futari aliyomualika jana huko katika viwanja vya
Ofisi ya Uhamiaji Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu
No comments:
Post a Comment