Mtume
Muhammad Swalla Allaahu ‘alayhi wasallam amesema:
: { أفضل الصلاة بعد الفريضة صلاة
الليل } [رواه
مسلم].
'Sala iliyo bora baada
ya sala za fardhi ni Sala inayosaliwa usiku'
Imepokewa
na Muslim
Tunaingia
katika kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhaan kumi lililo bora kabisa ambapo
ndani yake tunatakiwa kukithirisha ibada kuliko tulizokuwa tukizifanya katika
muda mwengine na ndani yake kuna usiku ulio bora katika dunia hii usiku wa Laylatul
Qadr ambao tumetakiwa tuutafute kwa kufanya ibada kwa wingi..
Tuitumie
fursa hii kwa kufanya ibada katika wakati ambao Allaah Subhaanahu Wata’ala
huthibitisha imani ya mja wake anaemtii na kumuabudu kikweli ( wakati wa usiku mkubwa
wakati watu wengine wamelala).
Aamiyn
No comments:
Post a Comment