Habari za Punde

Dk Shein atoa salamu za mwezi mtukufu wa Ramadhaan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa risala ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa wananchi ,huko Ikulu Mjini Zanibar leo mchana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

1 comment:

  1. kuna vvitu vingine havikufai kufanya dr sheni , wewe ni mwanasiasa basi ubakie huko huko usijiingize kwenye sera nyengine ndugu yangu

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.