Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu, Mhe Mwakiembe akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar kuhusiana na Hali ya Bandari ya Tanzania katika kipindi hicho baada ya ziara yake hali katika bandari hiyo iko safi na shughuli zake zikiendelea kwa utaratibu kama unavyotakiwa kwa Wasimamizi wa bandari hiyo.Waziri Mwakiembe alikuwa Zanzibar akihudhuria uzinduzi wa Jengo Jipya la Bandari ya Zanzibar lililojengwa na Kampuni ya Azam kwa gharama ya zaidi ya shilingi Bilioni moja.
DKT. TULIA ACKSON AACHIA MBIO ZA USPIKA WA BUNGE LA TANZANIA
-
Dkt.Tulia Ackson ametangaza kujiondoa rasmi katika kugombea nafasi ya
Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha
Mapinduzi (CCM...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment