Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Leo.

 Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Mbarouk akifuatilia michango ya Wajumbe wakichangia Bajeti ya Wizara yake.
 Mwakilishi  nafasi za Wanawake  Viwe Khamis, akichangia bajeti ya Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo.  


 Mwakilishi wa Kojani Hassan Hamad, akichangia bajeti ya Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo baada ya kuwasilisha katika baraza na Waziri wa wizara hiyo. 

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika ukumbi wa baraza wakifuatilia michango inayowasilishwa na Wajumbe kuchangia Bajeti ya Wizara ya Habari kwa mwaka wa matumizi 2013/2014


 Watendaji wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar wakiongozwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Ali Saleh Mwinyikai wa kwanza, wakifuatilia michango hiyo kwa ajili ya kutayarisha majibu ya maswali iliowasilishwa na wajumbe wakati wa majumuisho. 



2 comments:

  1. A.alaikum

    Bwana Othman tunashukuru sana kwa kutuletea picha za huko baraza la wakilishi, lakini sisi wananchi tunasoma habari tunapendelea sana kuona habari ambazo kama hoja na misawada au majadala unaojadiwa ndani ya baraza la wakilishi.

    Pia tunapendelea kupata habari kutoka katika mabaraza ya katiba, na tunaomba habari hizo zisijikite upande mmoja, kwani ndani ya mabaraza ya katika kuna maoni ya watu tofauti.
    Tunasikitishwa juzi tumeona habari ambazo zimejikita upande mmoja wa hoja ambazo zimetolewa katika baraza la katiba, huko kasini A na B.

    ReplyDelete
  2. Bwana mapara tunasikitisha na taiti zo lililo jitokeza coment zetu nyingi hazitoki au umetuchoka, lakusiktisha kuwa hazikiuki maaili sisi tunapenda kubadilishana mawazo na wadau mbambali ilu tupate maarifa na kuelimika

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.