Habari za Punde

Maalim Seif atembelea wagonjwa kaskazini Unguja

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad akimfariji mzee Ali Juma Makame wa Mkwajuni, baada ya kumjuilia hali ikiwa ni ziara ya kiongozi huyo ya kutembelea wagonjwa na wafiwa.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad, akimjuilia hali mzee Faraji Mziwanda wa Chaani, ikiwa ni ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad, akimjuilia hali Haji Makame Sangire wa Kigunda, ikiwa ni ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na Salmin Said, OMKR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.