Habari za Punde

Rukwama Ikipata ajali baada ya kuchukuwa mzigo mkubwa.

 Ajali si ya gari peke yake hata na rukwama nalo hupata ajali likiwa katika kazi zake, kama inavyoonekana pichani msokuma mkokoteni (rukwama) akishusha mizogo katika rukwama hilo baada ya kupata ajali ya kutoka kwa ringi na kusababisha kuzuiya njia kwa muda mfupi katika eneo la marikiti ya mbogamboga na kushusha mizigo hiyo. ukizingatia katika kipindi hichi cha mfungo inakuwaje kazi hii.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.