WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Mbarouk, akizungumza na Ujumbe kutoka China wa China International Travel Service Wuhan Co Ltd, ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo inayoshughulikia Utalii Zou Wang Sheng, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Mnazi mmoja..
Mkurugenzi Mkuu wa CITS Zou Wang Cheng akizungumza na Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Mbarouk, wakati walipofikakatika Wizara hiyi kuonana na Waziri.
Balozi Mdogo wa China Zanzibar Chen Quiman akitowa maelezo ya Ujio wa Ujumbe kutoka China unaosimamia Utalii wakati wa mazungumzo na Waziri wa Habari Ofisinin kwake Mnazo Mmoja.kushoto Mkurugenzi Mkuu wa CITS Zou Wang Cheng.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Mbarouk akimkabidhi zawadi za Spices za Zanzibar Mkurugenzi Mkuu wa CITS Zou Wang Sheng.baada ya mazungumzo yao ya kiushirikiano katika Sekta ya Utali kati ya Zanzibar na China, ili kuitangaza Zanzibar katika China vivutio vyake viliko Zanzibar kwa Wananchi wa China.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Mbarouk kulia Balozi Mdogo wa China Zanzibar Chen Quiman na kushoto Mkurugenzi Mkuu wa China International Travel Service Co Ltd Zou Wang Sheng, Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe. Bihindi Hamad.
WADAU WAANZA KUVUTIWA NA MAKUMBUSHO YA JIOPAKI YA NGORONGORO LENGAI
-
Na Mwandishi wetu, Karatu Arusha.
Siku chache baada ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, kuzindua M...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment