Habari za Punde

Dk Shein awaapisha Makatibu wakuu leo


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Khamis Mussa,kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Fatma Gharib Bilali, kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Kazi,Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.{Picha na Ramadhan Othman,}

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.