Habari za Punde

Dkt Shein, Awaapisha Mawaziri na Manaibu Katibu Wakuu na Manaibu wake. Ikulu Leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haji Omar Kheir,kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haroun Ali Suleiman, kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar






Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Zainab Omar Mohamed,kuwa Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Salum Maulid Salum, kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. AliMohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ. Nd. Joseph Abdalla Meza,Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Menyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. AliMohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Said Abdalla Natepe Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. AliMohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu  Tawala za Mikoa Nd. Mwinyiussi A Hassan., hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Idara Maalum za SMZ. CDR. Julius Nalimy Maziku.hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar..
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. AliMohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu. Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma Nd. Yakout Hassan Yakout.hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Uwezeshaji na Ushirika Nd. Ali Khamis Juma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Juma Ameir Hafidh.
Viongozi wa Serekali wakishuhudia sherehe za kuapishwa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara zilizofanyiwa marekebisho.hafla hiyo imefanyika Ikulu
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya kuapishwa Ikulu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mwinyihaji Makame. akiwa na watendaji wake baada ya kuapisha kutoka kulia Naibu Katibu Mkuu Idara Maalum CDR Julius Nalimy Maziku, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Nd.Salum Maulid Salum na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, nD. Joseph Abdalla Meza, kushoto Naibu Katibu Mkuu Tawala za Mikoa Nd. Mwinyiussi A.Hassan na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora. Nd. Said Abdalla Natepe. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. AliMohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar baada ya kuwaapisha Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.