Habari za Punde

Usanii wa uswahilini babu kubwa!

 
Nikiona watu wanakata ovyo minazi tumbo huniuma! Mti wa mnazi ni kila kitu uswahilini. Kuanzia vifaa vya kuchezea watoto kama kifeni cha ukuti hadi kamba ya kujengea, vyote hivi mama yao ni mnazi. Leo hii tunayo pakacha hii ya dafu! Nani kasema waswahili sio wabunifu?  
 
Maelezo na picha  MOHAMED MUOMBWA

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.