Habari za Punde

PBZ Yatowa Huduma Maji kwa Mahujaji Uwanja wa Ndege Zanzibar.


Wafanya kazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakitowa huduma ya kuwagawia Maji Mahujaji katika kiwanja cha ndege cha Zanzibar kabla ya kuondoka na Jamaa waliofika kuwaanga jana usiku kupitia PBZ Islamic jana usiku wakati wa kundi la Mahujaji kuondoka jana kuelekea Makka katika Hijja.
               Mahujaji wakikamilisha Taratibu za Safari yao kwa Mawakala wa Safari za Hijja jana.
                               Mahujaji wakiwasili katika eneo la uwanja wa ndege kwa safari yao jana usiku.

Meneja wa Masoko wa PBZ Seif Suleiman akiwa katika maandalizi ya kutowa huduma ya kuwapatia maji Mahujaji na Wananchi waliofika katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kuwashindikiza Mahujaji hao wakielekea Nchi Saud Arabia kwa Ibada ya Hijja.
Meneja Masoko wa PBZ, Seif Suleiman akigawaaji kwa wananchi waliofika kuwashindikiza Mahujaji katika kiwanja cha ndege Zanzibar, PBZ kupitia PBZ Islamic imetowa huduma hiyo kwa wananchi na mahujaji waliofika Uwanjani hapo.

Mahujaji wakiwa sehemu maalum waliotengewa kwa ajili ya kuaza safari yao ya Hijja

1 comment:

  1. Mwenyezi Mungu akujaalieni safari ya salama na azikubali ibada zenu. Safirini salama na murudi salama kwa furaha na amani.

    Haji R. Haji. USA.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.