Habari za Punde

Dk Shein akutana na Balozi wa Thailand nchini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Thailand Nchini Tanzania Ittiporn Boonpracong,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Thailand Nchini Tanzania Ittiporn Boonpracong,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Thailand Nchini Tanzania Ittiporn Boonpracong,baada ya mazungumzo yao,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.