Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali MohamedShein,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments:
Post a Comment