Akaunti hii inamuwezesha mfanyakazi wa Serekali kuweza kupokea mshahara wake kwa wakati muwafaka, na kwa ufanisi zaidi, sambamba na kukuwezesha kuhifadhi fedha zako kwa muda wote na kukuwezesha kupata huduma nyengine za kibenki.
Masharti ya kufungua Furaha Akaunti
.Picha 2 za possport size
.Kopi ya kitambulisho, kimoja wapo kati ya vifuatavyo
-Hati ya kusafiria ( Possport)
-Barua ya Serekali ya Mitaa iliyogongwa mhuri kwenye picha ya muhusika
-Leseni ya Udereva
-Kitambulisho halali cha mpiga kura.
.Ajaze fomu ya mkataba
.Awe na umri wa miaka 18 au zaidi.
.Hakutakuwa na kifungulio chochote.
.Utapatiwa kadi ya ATM,ijulikanayo kwa jina la(SPICE CARD)bure,iliyounganishwa na mtandao wa UMOJA SWITCH
Click Here www.pbzltd.com
bofya hapa www.pbzltd.com