Habari za Punde

Maalim Seif aagana na Balozi mdogo wa Oman

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Balozi mdogo wa Oman Sheikh Saleh Al-Hafidh aliyefika Ofisini kwake Migombani kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na  Balozi mdogo wa Oman Sheikh Saleh Al-Hafidh,  Ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na  Balozi mdogo wa Oman Sheikh Saleh Al-Hafidh,  Ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa na  Balozi mdogo wa Oman Sheikh Saleh Al-Hafidh,  Ofisini kwake Migombani, baada ya kumaliza mazungumzo yao. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.