Elimu : Tazama Hapa Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba 2025
-
Maktaba: Picha kwa Hisani ya Gadiola Emanuel - Hady Class 7 Mwaka 2017
Bofya Hapa Kutazama Matokeo
MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2025
Wazal...
8 hours ago

haya mambo mengine ya kuiga bila ya kutafakari yatatupeleka siko , kupiga marufuku kuuzwa visu na sime nk kama si ujinga ni nini? kama watu wanatumia hivyo vitu kwa uhalifu watavipata tu kwa nji moja au nyengine, mbona mabunduki na mabastola hayauzwi barabarani na wanayapata vipi? ikiwa mtu amekula dawa za chloroqwini ili kujiua nafsi yake , kwa hio tupige marufuku famasi wasiuze dawa?
ReplyDelete