Tunazo akauti za akiba nyingi kulingana na mahitaji yako rahisi kufungua kwa watu wote ikiwemo walio chini ya umri wa miaka 18 minor chini ya uangalizi wa mlezi wake.
MASHARTI YA KUFUNGUA AKAUNTI YA AKIBA (SAVING AKAUNTI)
. Picha za passport size
.Kopi ya Kitambulisho, Kimoja wapo kati ya vifuatavyo
-Hati ya Kusafiria (Passport)
-Barua ya Serekali za Mitaa iliyogongwa mhuri kwenye picha ya muhusika.
-Leseni ya Udereva
-Kitambulisho halali cha mpiga kura.
.Ajaze fomu ya mkataba
.Awe na Umri wa miaka 18 au zaidi
.Kifungulio Tsh.5000/=
.Utapatiwa kadi ya ATM, ijulikanoyo kwa jina la SPICE CARD bure, ambayo imeunganishwa na mtandao wa UMOJA SWITCH.
Pofya Hapa kwa Maelezo Zaidi. www.pbzltd.com
No comments:
Post a Comment