Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe..Dkt. Samia Suluhu Hassan
Amemuapisha Mhe. Hamza Johari Kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye
hafla...
1 hour ago

Hatuna haya almaruhum mzee Abe Aman karume alionesha mfano mzuri khusu ujenzi wa barabara na nyumba tuanze na michenzani, kunajumba limeanzia kisiwa nduwi hadi raund abauti, kuna upana wakutosha hata ikihitajika kupanuliwa barabara na jumba la rahaleo likombali na, la misara, likoko mbali sasa chakujivinia, matunda ya mapinduzi ni yale, sio kujenga barabara zisizo viwango mkatwambia nimatunda ya mapinduzi huko ni kutunanga hebu tujitafakari wapitulipo kosea kuzifata nyao za mzee wetu huko kaburini,aliko anjua kuwa tuna yaenzi mapinduzi kwa mema na mazuri aliyo yafananya sikubabaisha kwa vibarabara vibovu visvyo na viwango
ReplyDelete