UDOM YAKUTANA NA WADAU KUCHAMBUA NAFASI YA AKILI UNDE KATIKA UTAWALA BORA
-
*Na Mwandishi Wetu, Dodoma*
*Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau wa teknolojia na
wataalamu wa utawala wamekutana leo Jijini Dodom...
7 hours ago
Hatuna haya almaruhum mzee Abe Aman karume alionesha mfano mzuri khusu ujenzi wa barabara na nyumba tuanze na michenzani, kunajumba limeanzia kisiwa nduwi hadi raund abauti, kuna upana wakutosha hata ikihitajika kupanuliwa barabara na jumba la rahaleo likombali na, la misara, likoko mbali sasa chakujivinia, matunda ya mapinduzi ni yale, sio kujenga barabara zisizo viwango mkatwambia nimatunda ya mapinduzi huko ni kutunanga hebu tujitafakari wapitulipo kosea kuzifata nyao za mzee wetu huko kaburini,aliko anjua kuwa tuna yaenzi mapinduzi kwa mema na mazuri aliyo yafananya sikubabaisha kwa vibarabara vibovu visvyo na viwango
ReplyDelete