Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Tanzania, Ali Othman, akikabidhi Mashuka kwa ajili ya Hospitali ya Chake Chake Kisiwani Pemba , wakati wa maadhimisho wa siku ya Wadau wa Mfuko anaepokea ni dakatari dhamana wa hospitali ya chake Chake , Yussuf Hamad.

Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya , akitandika shuka la Kitanda aktika Hospitali ya Chake Chake akiwa na Daktari dhamana wa Hospitali hiyo Dk, Yussuf Hamad
Picha na Bakar Mussa, Pemba
Zisije zikaisha majumbani tu
ReplyDelete