Habari za Punde

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya watoa msaada wa mashuka Hospitali ya Chakechake, Pemba

 Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Tanzania, Ali Othman, akikabidhi Mashuka kwa ajili ya Hospitali ya Chake Chake Kisiwani Pemba , wakati wa maadhimisho wa siku ya Wadau wa Mfuko anaepokea ni dakatari dhamana wa hospitali ya chake Chake , Yussuf Hamad.



Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa  Taifa wa Bima ya afya , akitandika shuka la Kitanda aktika Hospitali ya Chake Chake akiwa na Daktari dhamana wa Hospitali hiyo Dk, Yussuf Hamad

Picha na Bakar Mussa, Pemba

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.