Habari za Punde

Mchezo wa Nage Zenj kusherehekea Miaka 50.

 Mchezo wa Nage umekuwa kivutio kwa wapenzi wa michezo Zenj na kuwa kila unapochezwa mchezo huo wapenzi wake hufurika kufuatilia michuano ya kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mchezo huounashishirikisha timu za vijana za wanawake wa majimbo ya wilaya ya mjini Unguja.
Mchezo huo uliofanyika katika viwanja vya michezani ulizikutanisha timu za Jimbo la Amani na Mwanakwerekwe, timu ya Mwanakwerekwev imeshinda mchezo huo kwa chupa 37--18.



                              Masharo wakiuza uzuri katika viwanja vya mchezo wa nage zenj.

4 comments:

  1. Siasa zitaharibu sherehe zetu, kwanini bendera za CCM tena?

    ReplyDelete
  2. Ah ndo ivo tena mapindzi daima.

    ReplyDelete
  3. Mchezo wa nage kuchezwa na wasichana wakubwa kama hawa, nadhani kuna neno. Hii haitendeki katika mazingira ya kawaida. Nadhani hili linaweza kuitwa hashuo.

    ReplyDelete
  4. Nadhani mchezo huo wa zamani ambao umegeuka kuwa mchezo rasmi mpya wa mashindano ghafla umekuwa ni bora kuliko michezo yote zaidi kuliko Soka, nadhaani hakuna haja tena ya kugharimu katika soka ambayo hatuna maana yoyote tuwekezeni katika nage tunaweza kutwaa ubingwa popote pale na wachezaji wakawa ni wakulipya,

    sula je, soka ilikuwa ni mchezo wa wanaume, wanawake duniani wakaivamia kuwa pia wanasoka, je Hapo Zanzibar haiwezekani Nage ikachezwa na wanaume baada yake wakawacha kucheza soka ambayo haina manufaa yoyote tokea mapinduzi ya miaka 50 iliyopita?

    nage oyee.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.