Mchezo huo uliofanyika katika viwanja vya michezani ulizikutanisha timu za Jimbo la Amani na Mwanakwerekwe, timu ya Mwanakwerekwev imeshinda mchezo huo kwa chupa 37--18.
Waziri Kikwete aipa tano Ofisi ya Msajili wa Hazina
-
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na
Watu wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete, ameipongeza Ofisi ya Msajili
wa Haz...
1 hour ago
Siasa zitaharibu sherehe zetu, kwanini bendera za CCM tena?
ReplyDeleteAh ndo ivo tena mapindzi daima.
ReplyDeleteMchezo wa nage kuchezwa na wasichana wakubwa kama hawa, nadhani kuna neno. Hii haitendeki katika mazingira ya kawaida. Nadhani hili linaweza kuitwa hashuo.
ReplyDeleteNadhani mchezo huo wa zamani ambao umegeuka kuwa mchezo rasmi mpya wa mashindano ghafla umekuwa ni bora kuliko michezo yote zaidi kuliko Soka, nadhaani hakuna haja tena ya kugharimu katika soka ambayo hatuna maana yoyote tuwekezeni katika nage tunaweza kutwaa ubingwa popote pale na wachezaji wakawa ni wakulipya,
ReplyDeletesula je, soka ilikuwa ni mchezo wa wanaume, wanawake duniani wakaivamia kuwa pia wanasoka, je Hapo Zanzibar haiwezekani Nage ikachezwa na wanaume baada yake wakawacha kucheza soka ambayo haina manufaa yoyote tokea mapinduzi ya miaka 50 iliyopita?
nage oyee.