Habari za Punde

Mdau wa Utalii Kizimbani

Mdau wa watembeza watalii katika shamba la Big Bony Kizimbani akiwa katika harakati za za kusuka kofia za makuti kwa ajili ya wateja wake wanaotembelea hapo kujionea viungo vya marashi ya karafuu ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.