Habari za Punde

Vuli inaponawa uso - Mambo huwa kama hivi





Mji wa Zanzibar na vitongoji vyake leo ulikuwa na mvua kubwa ambayo ilisababisha baadhi ya barabara kutoweza kupitika kwa sababu ya kujaa maji

Picha zote na Haroub Hussein

1 comment:

  1. Haya yakujaa maji mabarabarani yasingekuwepo kama Serikali ya Dr Sheni ingefanyakazi kwakufuata Sera ambazo zingeboresha Ustawi wa Jamii na Miundo Mbinu.

    Miji ya Unguja na Pemba haina ukubwa wakushindwa kuwekwa Seawage system za kileo. Isipokua pesa Inatafunwa na Manispaa. Pamoja na Serikali ya UVCCM.

    Hivi sasa kuna Sherehe za Mapinduzi na mabilioni ya fedha zitaingizwa kwenye Matumbo ya Wahafidhina au UVCCM. Barabara hizo zimejaa maji aibu tupu

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.