Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akivalishwa (Redreben) alama maalum ya Ukimwi,na
Zainab Khamis, Mhamasishaji Tume ya Ukimwi Zanzibar,wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika Paje Wilaya ya
Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo kila ifikapo tarehe 1 Disemba
hufanyika maadhimisho
Baadhi ya wananchi walioalikwa katika hafla ya
maadhimisho ya siku ya Ukimwi,wakisoma majarida yaliyotolewa katika
maadhimisho hayo yaliyofanyika Paje Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini
Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Wananchi wa Vijiji mbali mbali vya Wilaya ya Kusini
Unguja,wakiwa katika hafla ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani
ambapo kwa mwaka,ambapo kwa mwaka huu Kijiji cha Paje,Wilaya ya
Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,yamefanyika Maadhimisho hayo na mgeni
rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwa katika
maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika Kijiji cha
Paje,Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Vijana wa Zapha+ ni Watu wanaoishi na Virusi
vinavyosababisha Ukumwi, wakifanya igozo mbele ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo
pichani) pamoja na Wananchi waliohudhuria katika maadhimisho ya Siku
ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini Mkoa
wa Kusini Unguja
Bibi Fauzia Ismail Aboud, kutoka Shirika la PSI
Tanzania,akisoma risala wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukimwi
Duniani yaliyofanyika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini
Unguja, akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma
Abdulhabib Fereji,alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili
kushoto),kuzungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya siku ya
ukimwi Duniani yaliyoafnyika leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya
Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) alipokuwa akizungumza na
wananchi wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika
leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini
Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais
Fatma Abdulhabib Fereji, na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,Dk.Idrisa
Muslim Hija,(kulia
Wasoma Utenzi kutoka Makunduchi,Asia Bukheti,(kulia)
na Amina haji Simai,wakitoa burudani hiyo leo wakati wa maadhimisho ya
siku ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya
ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja,mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiiangalia picha yeke wakati
alipokuwa Meneja wa Mradi wa Kitengo cha Ukimwi kutoka Nov 1997- Julai
1998, wakati wa maonesho katika banda la kitengo cha Ukimwi,cha Wizara
ya Afya,wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika
leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini
Unguja,(kulia) ni Dk.Ahmed Khatib,Kitengo cha Ukimwi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiiangalia vifaa mbali mbali
wakati alipotembelea banda la kitengo cha Ukimwi la Wizara ya
Afya,wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika
leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini
Unguja,(kulia) ni Dk.Ahmed Mohamed Khatib,Meneja Kitengo cha Ukimwi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Dk.Farhat
Khalid,kitengo cha Ukimwi,wakati alipotembelea maonesho katika banda
la kitengo cha Ukimwi la Wizara ya Afya,wakati wa maadhimisho ya siku
ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya
Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja,(katikati) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Fereji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa katika picha ya pamoja
na Viongozi na jumuiya ya Zayedesa,wakati alipotembelea mabanda mbali
mbali ya maonesho yanayojishuhulisha na kutoa elimu ya Ukimwi wakati
wa Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani,Kitaifa maadhimisho hayo
yamefanyika leo katika Kijiji cha Paje, Wilaya ya Kusini,Mkoa wa
Kusini Unguja, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment