Habari za Punde

Dk Shein akutana na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP aliyefika Ikulu kujitambulisha

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Ernest Mangu,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Ernest Mangu,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.