Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa Finland Bw.Jyrki Katainen alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akizungumza na  Waziri Mkuu wa Finland Bw.Jyrki Katainen alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku moja,mazungumzo yao yaligusia zaidi katika uhusiano na ushirikiano katika njanja mbali mbali za kijamii,
[Picha na Ramadhan  Othman,Ikulu.]



No comments:
Post a Comment