Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad. Ikulu Dar.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, alipofika Ikulu Dar kuonana na Rais Kikwete (Picha na Salmin Said OMKR)
tafadhali maalim seif JK asikupumbaze ukakubali serikali tatu walizopendekeza akina jaji warioba , msimamo ule ule znz huru , au angalao muungano wa mkataba ktk wizara za kilimo , utalii na viwanda . wizara nyengine zote kila mtu awe peke yake. Tunajua umeitwa huko ukapigwe msasa , tafadhali weka mbele maslahi ya waznz kama unaelewa nafasi uliyopewa , kwa kukumbusha tu kwa umri wako uko karibu kuonana na mola kuliko umri wa kuishi duniani , usije kuuza haki za waznz hata ikibidi kupoteza hio nafasi ya makamu wa rais
ReplyDeleteMpewa hapokonyeki. Walioimba. Kama wataka ikulu kajenge yako Ntambwe.
ReplyDeleteNifaraja kumuona Maalim Seif akitinga ikulu na heshima yake kua na hadhi kubwa nchini.
Wewe Ni mzalendo mwenye mapenzi na huruma kwa wazanzibari.
viva Zanzibar, Viva Maalim Seif. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na umri mrefu.
Nifaraja kumuona Maalim Seif akitinga ikulu na heshima yake kua na hadhi kubwa nchini.
ReplyDeleteWewe Ni mzalendo mwenye mapenzi na huruma kwa wazanzibari.
viva Zanzibar, Viva Maalim Seif. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na umri mref
kwani serekali tatu ndio sera ya cuf au hujui caf walihubiri mkataba kwa ndio ngoma iliyokuwa inapigwa na uamsho na uamsho ilikuwa na ushawishi mkubwa bila kuungana na uamsho kwenye ngoma ya mkataba cuf ingepoteza mvuto kwa wanachama wake
ReplyDeleteJK waachie hawa wazanzibari visiwa vyao wasitupigie kelele kila siku , kila mtu akamate nchi yake tuendelee kuwa majirani wazuri , wakija kutaka huko mbele muungano tena na sisi tutaangalia kama utakuwa na manufaa kwetu.
ReplyDeleteNaona hii kukutana na mh, kikwete angeitumia vizuri hinafasi ili hawa wahadimi wanapo takiwa kupeleka majina kwenda kuchua nafasi za muungano wasipeleke watu mabupuru engemuomba rais kikwete, ili awazibit hawa wahuni waetu
ReplyDelete