Habari za Punde

Mdahalo wa Wazi wa Kitamaduni Zanzibar

 Mkuu wa kituo cha utamaduni cha ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Morteza Sabour akizungumza katika mdahalo wa wazi kuhusu uhusiano wa kitamaduni kati ya Zanzibar na Iran uliofanyika kampasi ya SUZA Vuga. Mdahalo huo uliandaliwa baina ya kituo hicho na SUZA

 Profesa Shariff akitowa mada katika Kongamano hilo la wai kwa Wanafunzi wa SUZA lililofanyika katika Chuo Kikuu  cha Taifa Zanzibar SUZA.  
 Wahadhiri wakimsikiliza Profesa Sharif akitwa mada katika Kongamano hilo la Kiutamaduni lililofanyika katika ukumbi wa SUZA majestic 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.