Habari za Punde

Rais Kikwete afungua Hospitali mpya ya KMKM Kibweni

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Januari 4, 2014

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo JANUARI 4, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Januari 4, 2014


 Askari wakakamavu wa kike wa KMKM wakiwa wamesimama kumlaki Rais Jakaya Mrisho kikwete alipowasili kwa ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni
PICHA NA IKULU


1 comment:

  1. MKUU, NADHANI NI TAREHE 4, JANUARY, SIO 4 DECENBER. MBONA UNATUHARAKISHA, NDIO KWANZA TUNA WAKE WAWILI TU.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.