PIKU Afrika yakabidhi zawadi kwa washindi wa awamu ya nne ya mnada wa
kidijitali
-
Na Mwandishi Wetu
JUKWAA la kidijitali la PIKU Afrika, linaloendesha minada ya kipekee
kupitia mtandao, leo Septemba 20, 2025, limetangaza na kukabidhi za...
2 hours ago
kama serikali 3 haiwezekani, basi na 2 ndio kabisa zimefeli maana miaka 50 hakuna kimoja kilopatikana znz, kumbe akina Faridi wanaakili sana, na wanaona mbali, basi tupeni nchi yetu tena mana mshashindwa. Sisi znz tunadidimia na nyinyi tanganyika munaendelea ndio maana hamsikii chochote, znz tunakubebeni nyinyi ndio maana munatung'ang'ania, tushashtuka lakini mara hii mwiba hautoki huo
ReplyDelete