Habari za Punde

NMB Yatowa Darasa kwa Wafanyabiashara Wadogo, Wakati na Wajasiriamali Zanzibar

 Meneja Kanda ya Dar-es-Salaam wa Banki ya NMB Tanzania Ndg. Salie Mlay, akifungua mafunzo ya Wafanyabiashara Wadogo na Wakati Zanzibar, kupitia Mtandao wao wa NMB Bussines Club, iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Baadhi ya Washiriki wa semina hiyo ya NMB Bussines Club wakimsikiliza Meneja Kanda ya Dar-es Salaam akifungua semina hiyo kwa ajili ya kutowa elimu kwa Wafanyabiashara hao.
                      Baadhi ya Wafanyabiashara wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini ukumbini hapo.

Afisa Mafunzo ya Elimu kwa Mlipa Kodi TRA Saleh Haji Pandu.akitowa mada katika semina hiyo kuhusiana malipo ya kodi kwa Wafanyabiashara, wakati wa semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.   

Mameneja wa Banki ya NMB wakifuatilia mada iliokuwa ikiwasilishwa na Afisa wa TRA Saleh Haji Pandu, 



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.