Habari za Punde

Dkt Fennela kakutana na Rais wa IYF

Waziri wa Habari na Michezo Dkt. Fennela Mukangara, akizungumza na Rais wa Shirika lisilo la Kiserekali la Internation Youth Felloship,Mchungaji Ock Hee Park, alipofika kumuona na Ujumbe wake Jijini Dar-es-Salaam leo.
Rais wa Shirika lisilo la Kiserekali la Internation Youth Felloship,Mchungaji Ock Hee Park, akizungumza na Waziri Fennela  alipofia Ofisini kwake kwa mazungumzo 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.