Habari za Punde

Dkt. Shein Azungumza na Watendaji wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar.

Rais wa Zanzibr na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto,katika Mkutano wa Utekelezaji Mapango kazi za Wizara hiyo katika kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja


Baadhi ya maofisa wa Idara mbali mbali za Wizara ya Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto wakimsikiliza Katibu Mkuu Bi Asha Abdalla,alipokuwa akiwasilisha taarifa katika mkutano wa Utekelezaji Mapango kazi za Wizara hiyo katika kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja jana,chini ya MwenyekitiRais wa Zanzibr na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibr na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto,katika Mkutano wa Utekelezaji Mapango kazi za Wizara hiyo katika kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.