MWANAFUNZI ambae hakupatikana jina
lake, akisoma bango la mtawala Haroun lilikoko Chwaka Tumbe wilaya ya Micheweni,
mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wanafunzi skuli za sekondari za mkoa wa kusini
Pemba, walipokuwa na ziara maalum ilioandaliwa na Kamisheni ya Utalii Pemba,
ili kuamsha ari ya utalii kwa wote (picha na Haji Nassor, Pemba)
Wizara ya Mawasiliano Yakabidhi Kompyuta 30 Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
-
Na Mwandishi Wetu, WMTH – Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mohammed
Khamis Abdulla, amekabidhi kompyuta mpakato (...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment