Habari za Punde

Mamlaka ya kuzuia rushwa na kuhujumu uchumi yakutana na wananchi Pemba


AFISA kutoka Mamlaka ya kuzuia rushwa na uhujumu wa uchumi Zanzibar ‘ZAECA’ Makame Hassan, akizungumza na wananchi wa mji wa Chakechake, kwenye mkutano wa wazi eneo la Tennis, ambapo ‘ZAECA’ ilifika kisiwani Pemba, ili kutoa elimu kwa wananchi, kulia ni Afisa mwenzake nd: Mwanaidi Suleiman Ali, akifuatiwa na sheha wa shehia ya Madungu, bibi Mafunda Hamad Rubea, akifuatiwa na sheha wa shehia ya Chachani Juma Khamis Mirsho (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.