WANANCHI mbali mbali wa Shehia ya Pondeani wilaya ya
Chake Chake, wakiangalia gari zinazopita kwa tabu katika daraja linalounganisha
Chake Chake na Wesha, baada ya kufurika maji kufuatia mvua zinazoendelea
kunyesha kisiwani Pemba.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA .)
WANANCHI mbali mbali wa Shehia ya Pondeani wilaya ya Chake Chake, wakiangalia gari zinazopita kwa tabu katika daraja linalounganisha Chake Chake na Wesha, baada ya kufurika maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA .)
WANANCHI wa shehia ya Wesha, wakiwa wamekunja
suruali zao na kukamata viatu, wakati akivuka katika daraja la pondeani,
linalounganisha Chake Chake na Wesha, baada ya kufurika maji kufuatia mvua
zinazoendela kunyesha kisiwani Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment