Habari za Punde

Neema ya mvua za Masika , miche ya mikarafuu inauzwa kwa wingi Pemba


KUFUATIA mvua kuendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali kisiwani Pemba, imekuwa nafuu kwa wanavukundi mbali mbali, kuendelea kuatika miche mbali mbali ya mikarafuu, pichani miche ya mikarafuu iliyoatikwa na kikundi cha Yarabi Tupe la Kheri kilichopo Gombani, Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)


 Miche ya Mikarafuuilipofika sokono ikinadiwa kwa bei poa kabisa stendi ya Dala dala Chakechake Picha na Bakar Mussa , Pemba
Mteja akondoka na miche yake. Picha na Bakar Mussa, Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.