RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali
alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar kwa ajili ya
ufunguzi wa jengo jipya la Hoteli ya Golden Tulip Awamu ya Pili, ufunguzi huo
uliyofanyika leo 12-7-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Muwekezaji Mzawa wa Hoteli
ya Golden Tulip Zanzibar Ndg.Hassan Mohammed Raza, alipowasili katika viwanja
vya hoteli hiyo, wakati wa hafla ya ufunguzi wa awamu ya pili ya jengo jipya la
Hoteli Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Jijini Zanzibar, ufunguzi huo
uliofanyika leo 12-7-2025.

No comments:
Post a Comment