Habari za Punde

Barabara ya Michakaeni - Machomanne


IPO haja kwa Serikali na Taasisi husika zinazosimamia masuala ya barabara, kuzifanyia matengenezo barabara ambazo tayari zimeshaanza kumengwa na maji ya mvua, kama inavoonekana katika picha, barabara ya Michakaeni- Machomanne- Chake, iliyoliwa na maji hao.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.