Sheria Zinazosikiliza Wananchi: Tume ya Haki za Binadamu Yatambua Juhudi za
OCPD
-
Na: Calvin Edward Gwabara – Dar es salaam.
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Bwana Nyanda Shuli
amepongeza Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa...
1 hour ago
Ni mji usiokuwa na haiba.Uko ovyooo na unafuta ule msemo wa old is gold. Tuko katika karne ya 21 na sio tena ya 18. Unesco wanaipotosha Zanzibar kwa kusema na kuchangia mji huu uenziwe,wakati wao huko kwao majumba yakichakaa kidogo huvunjwa na kujengwa za kisasa na kila kitu ni proof yaani earthquake proof,fire proof n.k Lakini Zanzibar wanachangia kuyaweka majumba ya karne ya 18 yaliyojengwa kwa mawe na chokaa,na ikitokea mtikisiko kidogoo tu ni maafa.Lazima zanzibar iamke kuliangalia suali hili kabla ya maafa mazito kutokea.Zanzibar isikubali "hewalla bwana."
ReplyDelete