Habari za Punde

Mandhari ya Mji Mkongwe Zenj


1 comment:

  1. Ni mji usiokuwa na haiba.Uko ovyooo na unafuta ule msemo wa old is gold. Tuko katika karne ya 21 na sio tena ya 18. Unesco wanaipotosha Zanzibar kwa kusema na kuchangia mji huu uenziwe,wakati wao huko kwao majumba yakichakaa kidogo huvunjwa na kujengwa za kisasa na kila kitu ni proof yaani earthquake proof,fire proof n.k Lakini Zanzibar wanachangia kuyaweka majumba ya karne ya 18 yaliyojengwa kwa mawe na chokaa,na ikitokea mtikisiko kidogoo tu ni maafa.Lazima zanzibar iamke kuliangalia suali hili kabla ya maafa mazito kutokea.Zanzibar isikubali "hewalla bwana."

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.