Habari za Punde

ZuRii Boutique kuhamia sehemu mpya

Kwako mteja wetu wote wa ZuRii Boutique,
 Tarehe 30 May 2014 ndo itakuwa mwisho wetu pale tulipo kwa sasa Sinza Legho. 
ZuRii Boutique itahamia sehemu mpya na tutawajulisha tutakapo kuwa tayari. 

Asanteni sana kwa kuwa nasi katika kipindi chote tulicho kuwa pale. 

Tunakuja kivingine & trust me mtafurahi sana. 
Kaeni mkao wa kupendeza sana na ZuRii Boutique Mpya.


For all enquires please whatsapp me on +44 7557304949 (Business Only) or +255 65 918 9796


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.