Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi

 Wazee wa  timu ya Ujamaa Spots Club ya Rahaleo iliopata Ubingwa Wilaya ya Mjini msimu huu wakiwa katika Ukumbi wa Juu wa Baraza la Wawakilishi walipokwenda kwa ajili ya kupongezwa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Mohammed Aboud Mohammed katikati akibadilishana mawazo na Wawakilishi wakwanza kulia ni Saleh Nassor Juma Jimbo la Wawi na kushoto ni Subeit KhamisJimbo la Micheweninje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar

Waziri wa  Miundombinu na Mawasiliano Rashid Seif Sileiman kushoto  akibadilishana mawazo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdillahi Jihad nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni nje ya mji wa Zanzibar.

Muwakilishi wa Jimbo la Rahaleo  Nassor Salim Ali katikati pamoja na viongozi wengina wakiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Timu ya Mpira ya Ujamaa Spots Club nje ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.