Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Wakati wa Kupitisha Bajeti yaWizara ya Habari hadi Saa tano Usiku.

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Said Mbarouk akinakili michango yaWajumbe wa Baraza wakati wa kuchangia Bajeti ya Wizara yake na kuchukua muda mkubwa wa kupitisha Vifungu vya  Matumizi hadi kuchukua muda hadi saa tano usiku. 
Wajumbe wakifuatilia michango 
Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi akichangia Bajeti ya Wizara ya Habari kwa msisitizo mkubwa .
Wetendaji wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo wakifuatilia michango ya Bajeti yao iliochukua kupitisha Vifungu vya matumizi hadi saa stano usiku, kutokana na mabuti ya Wajumbe wa  Baraza kutaka kupata ufafanuzi wa vifungu.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.